
Wanafunzi
wa kidato cha sita wamebuni mfumo wa kuwasaidia walimu kusahihisha
mitihani kwa urahisi zaidi. Wanafunzi hao walifanya hivyo baada ya kuona
changamoto wanayopitia walimu wakati wa kusahisha mitihani na kuamua
kubuni mfumo rafiki ambao utakuwa ukisaidia kusahihisha mitahani kwa
muda mfupi na kwa uhakika zaidi.