
Hivi karibuni tutakuletea mobile app ambayo itakuwa ikikupatia matokeo ya mitihani ya taifa Necta kupitia simu yako ya mkononi. Pindi matokeo ya mitihani yanapotangazwa utapata kuona matokeo hayo kwa haraka zaidi kupitia simu yako ya mkononi,.. matokeo ya darasa la pili, darasa la saba, kidato cha pili, kidato cha nne na kidato cha sita utaweza kuyaona yote bila usumbufu. Stay tuned!!
No comments:
Post a Comment